Je! hili wazo litapokelewa vipi ?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Guyz habarini hapa mm nina wazo na ninataka nipeleke ngazi husika naombeni ushauri niende au vipi na je hili wazo litakuwaje

Lipo hivi kila taasisi hapa nchini ina umuhimu mkubwa na, wengi wanakuwa wahitaji msaada toka taasisi mbalimbali.... kutona na ukweli kwamba, saahizi watanzania wengi wasomi wanaongezeka... bila kujali ni njia gani wanatumia kupata pesa za kusomea lakini kuna pesa zinakuwa zinatumika pasipo na maana na shida zingine hazitatuliki kwa kukosa pesa ya kutatulia hilo tatizo mwishowe ndoto za watu zinakufa.

Nataka TCU, HESLB, NACTE, NECTA... wafungue matawi kila mkoa ambapo watu wenye matatizo mengi watafika kwenye matawi hayo na kusaidiwa badala ya, kulazimika kufika dar kwa gharama kubwa na pia msongamano utapungua hasa kipindi cha udahiri na vile vipindi ambapo wanafunzi wengi wans kuwa na matatizo.

Hivyo basi mm nataka kuzishauri hzo taasisi kufungua matawi kila mkoa je hili limekaaje.
 
mhh labda Tz ya nyerere ila ya sasa imejaa ufsad aijali matatazo ya watu.
 
Lakini hii ya ofisi kubwa kama zilee kuto kuwa na matawi si vizuriii
 
inawezekana hata kwa serikali ya kikwete hawa walio chini yake ndio wanaomwangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…