Je historia ni nn hasa?

Je historia ni nn hasa?

mkezwag

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
3,245
Reaction score
1,080
Hi Wanajamvi

Wakuu ninaomba kueleweshwa-Hiki kitu kinachoitwa historia ni kitu gani hasa?kwanini katika maisha ya mwanadamu au Taifa kuna kitu kinaitwa historia?Je katika uhalisia wake historia inaweza kumtawala mtu?Je ni kwanini sasa sisi tunataka kutawaliwa na historiaNisaidie ndugu zangu
 
Back
Top Bottom