Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Mbona unaremba maneno!!?Katika utumishi wa umma huwa tunaelekezwa kuzingatia maslahi ya umma katika kutekeleza majukumu yetu.
Utashi huu ni muhimu kwasababu pamoja na kuchochea ufanisi, ubora wa huduma kwa wateja na mahusiano mema mahali pa kazi, husaidia kujenga taswila chanya ya taasisi zetu pamoja na serikali kwa ujumla.
Sina uhakika kama tathmini sahihi huwa inafanyika haswa katika kukabiliana na wananchi wenye mwelekeo wa kuipinga serikali. Wenye dhamana na maswala hayo wakati mwingine wanatuachia maswali kama wanazingatia maslahi ya umma katika utekelezaji wa majukumu yao.
Nadhani tuna kila sababu ya kwenda kujifunza, haswa kwa mzee wetu Rais Kikwete maadam yupo hai. Katika uongozi wake huyu mzee alisemwa sana, lakini hatukusikia makesi yenye ukakasi. Pamoja na mapungufu ya hapa na pale waliowengi wanakubali kuwa kwenye demokrasia alifanya vizuri.
Natamani ifike mahala tuachane na kesi ambazo zinaichafua demokrasia na uhuru wa watu kutoa mawazo katika nchi yetu.
View attachment 3653676
Akili zimeanza kukujia?
Ukiwasaliti wenzio Utaishia Pabaya.
Nadhani umemuona kazungu.
yule wa Tanga.
Kama umeamua kuwa jambazi baki huko huko, ukiwakana wenzio UTAUWAWA.
Leo ndiyo umejua hawa watu ni waouvu?Katika utumishi wa umma huwa tunaelekezwa kuzingatia maslahi ya umma katika kutekeleza majukumu yetu.
Utashi huu ni muhimu kwasababu pamoja na kuchochea ufanisi, ubora wa huduma kwa wateja na mahusiano mema mahali pa kazi, husaidia kujenga taswila chanya ya taasisi zetu pamoja na serikali kwa ujumla.
Sina uhakika kama tathmini sahihi huwa inafanyika haswa katika kukabiliana na wananchi wenye mwelekeo wa kuipinga serikali. Wenye dhamana na maswala hayo wakati mwingine wanatuachia maswali kama wanazingatia maslahi ya umma katika utekelezaji wa majukumu yao.
Nadhani tuna kila sababu ya kwenda kujifunza, haswa kwa mzee wetu Rais Kikwete maadam yupo hai. Katika uongozi wake huyu mzee alisemwa sana, lakini hatukusikia makesi yenye ukakasi. Pamoja na mapungufu ya hapa na pale waliowengi wanakubali kuwa kwenye demokrasia alifanya vizuri.
Natamani ifike mahala tuachane na kesi ambazo zinaichafua demokrasia na uhuru wa watu kutoa mawazo katika nchi yetu.
View attachment 3653676
Inawezekana ww ni mgeni wa kusoma makala zangu. Fanya utafiti ni mara ngapi nimeandika kuhusu demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.Akili zimeanza kukujia?
Ukiwasaliti wenzio Utaishia Pabaya.
Nadhani umemuona kazungu.
yule wa Tanga.
Kama umeamua kuwa jambazi baki huko huko, ukiwakana wenzio UTAUWAWA.
Kwani leo ndio mara ya kwanza kukosoa kuhusu kesi za namna hii? Msimamo wangu ni dhahiri, kesi zinazoishushia heshma nchi yetu, hazina maslahi ya umma, zifutwe!Leo ndiyo umejua hawa watu ni waouvu?
Kupinga mambo hayo uliyoyataja ni wajibu wa watanzania wote, haswa wana CCM maana wao chama chao ndicho kimeshika dola.Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.
1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Afadhali hao wanabambikwa kesi ,ndugu zao wanafahamu wapo, Kuna wengine wanapotezwa kabisa.Natamani ifike mahala tuachane na kesi ambazo zinaichafua demokrasia na uhuru wa watu kutoa mawazo katika nchi yetu.