Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
kuna mchizi wangu ktk maandalizi ya kuingia chuo kaandaa PASI YA UMEME,HEATER,RICE COOKER!JE hz ataweza kuzitumia iwapo atakuwa anaishi lyf la HOSTEL!waliotutangulia 2peni utaratibu wa ma2mizi ya socket za umeme chuoni!mchizi anaingia pale st.joseph dar!nawasilisha!
st.joseph hostel za chuo ni kwa wakina dada 2 bt wakaka kuna hostel mbal kidogo na chuo zinapatikannaongelea hostel lyf cio gheto!
usiseme kwa kejeli bruda,funguka kama pia hizo zinaweza kuwa portable!mwambie amesahau SABUFA, TV na FRIJI,
itafiki muda mtu atauliza hivi naruhusiwa kwenda chooni mara ngapi?