Je hizi ndizo faida za maridhiano?

Je hizi ndizo faida za maridhiano?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Uwepo wa maridhiano umewajibika vipi katika haya?

1. Watu waliotekwa, kuteswa na kuuawa

2. Watu waliopigwa risasi na manyanyaso mengine wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

3. Hujuma zote zilifanyika kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

4. Ukiporwa mali yako halafu mkafanya mazungumzo na yule mporaji kisha ukarudishiwa mali yako hiyo ni faida ya maridhiano?

Huyo ndo Mwamba wa akina Boni egg anayetakiwa kuvusha jahazi,
Mpaka hapo tu, ameshafail.
 
Maridhiano yalivunjika rasmi lini?
 
Maridhiano makubwa kwa FAM ni pale aliporudishiwa akaunti zake za benki, kuhakikishiwa government deals na usalama wa biashara zake

Ndio maana baada tu ya majadiliano aliandaa tuzo wa Rais bila kushirikisha kamati kuu ya chama, aliandaa mwenyewe kwa appreciation ya waliyomfanyia yeye mwenyewe.

FAM anatumia mgongo wa cdm kwa maslahi yake binafsi na mtu yoyote atakaetaka kuingilia maslahi yake, uenyekiti, lazima aidha ufe ama ufukuzwe kwenye chama.
 
Kifo cha Ali Kibao kimeumiza mioyo ya wengi. Karma itahukumu kwa haki hata kama uchunguzi wa tume ya Mama Abdul hautakamilika.
 
Kifo cha Ali Kibao kimeumiza mioyo ya wengi. Karma itahukumu kwa haki hata kama uchunguzi wa tume ya Mama Abdul hautakamilika.
Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.
Shoti za umeme zkitumika sku Moja ili asaidie ufelelezi atasema Kila kitu
 
Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.
Shoti za umeme zkitumika sku Moja ili asaidie ufelelezi atasema Kila kitu
Nani atampiga shot za umeme wakati wanaotakiwa kufanya hivyo wampo pamoja na yeye?
 
Wananchi ndio wapiga kura halisi, 2025..hilo ndio la kuzingatia january!
Mbowe anaelekea kuwa adui wa demokrasia!
 
Kuna mifano kadhaa ya nchi ambapo demokrasia imefanikiwa kuimarisha maelewano na maridhiano. Hapa kuna baadhi ya nchi hizo:
1. Afrika Kusini
- Muktadha: Baada ya kumalizika kwa utawala wa kibaguzi mwaka 1994, Afrika Kusini ilipitia mchakato wa kuunda katiba mpya ambayo ilisisitiza haki za binadamu na ushirikishwaji wa jamii.
- Matokeo: Mchakato huu ulisaidia kuleta maelewano miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii na kuimarisha umoja wa kitaifa.

2. Canada
- Muktadha: Canada ina mfumo wa demokrasia ya bunge ambapo kuna ushirikishaji wa makundi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na jamii za wenyeji.
- Matokeo: Hii imewezesha majadiliano na maridhiano katika masuala ya sera, na kusaidia kuleta utulivu katika jamii zenye utofauti wa kikabila na kiutamaduni.

3. Ujerumani
- Muktadha: Baada ya kuungana mwaka 1990, Ujerumani ilifanya juhudi kubwa za kujenga umoja kati ya maeneo ya magharibi na mashariki.
- Matokeo: Mfumo wa kisiasa wa Ujerumani unasisitiza mazungumzo kati ya vyama mbalimbali, na hii imechochea maelewano na ushirikiano wa kisiasa.

4. Sweden
- Muktadha: Sweden ina mfumo wa demokrasia wa uwakilishi ambapo vyama mbalimbali vinashirikiana kuunda serikali.
- Matokeo: Hii imewezesha ushirikiano miongoni mwa vyama vya kisiasa na kuimarisha maelewano katika masuala ya kijamii na kiuchumi.

5. New Zealand
- Muktadha: New Zealand ina mfumo wa demokrasia ya uwakilishi ambapo kuna uwakilishi mzuri wa jamii za asili.
- Matokeo: Huu umeimarisha mazungumzo na maridhiano kati ya serikali na jamii za wenyeji, na kusaidia katika kutatua mizozo.

Hitimisho
Nchi hizi zinaonyesha jinsi demokrasia inaweza kutumika kama chombo cha kuimarisha maelewano, kwa kutoa nafasi ya majadiliano, ushirikishaji, na kutafuta masuluhisho yanayokubalika kwa pande zote. Hii inaonyesha kuwa demokrasia ina uwezo wa kuleta umoja katika jamii zenye utofauti.
 
Uwepo wa maridhiano umewajibika vipi katika haya?

1. Watu waliotekwa, kuteswa na kuuawa

2. Watu waliopigwa risasi na manyanyaso mengine wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

3. Hujuma zote zilifanyika kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

4. Ukiporwa mali yako halafu mkafanya mazungumzo na yule mporaji kisha ukarudishiwa mali yako hiyo ni faida ya maridhiano?

Huyo ndo Mwamba wa akina Boni egg anayetakiwa kuvusha jahazi,
Mpaka hapo tu, ameshafail.
Hebu jitahidini kuwa objective kwa mazuri ya maridhiano na sio ku concentrate na mapungufu tuu!.
  1. Kubwa zuri la kwanza ni wameutambua uchaguzi, wamemtambua mshindi, wamelitambua Bunge, na sasa wanalamba ruzuku iliyowapa mjengo wa heshima na hadhi!. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  2. Mbowe japo ni gaidi kwa mujobu wa commital proceedings, kwenye ile kesi yake zilithibitisha prima facie, lakini kaachiwa kwa nolee ni akina sisi tulimuombea msamaha!. Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  3. Hawakumtambua mbunge wao Aida, sasa wanamtambua
    View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U
  4. Walisusia mikutano sasa hawasusi Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
  5. 2025 ndio kubwa kabisa inakuja, kugawana nusu mkate!. Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

P
 
Hebu jitahidini kuwa objective kwa mazuri ya maridhiano na sio ku concentrate na mapungufu tuu!.
P
Hakuna anayekataa kwamba maridhiano hayana faida. Lakini maridhiano ya CHADEMA na CCM kuna faida gani pale?
Tulitegemea baada ya maridhiano uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa huru na wa haki, lakini mambo yamekuwa kinyume kabisa.
Hizo ndo faida za maridhiano?
 
Maridhiano makubwa kwa FAM ni pale aliporudishiwa akaunti zake za benki, kuhakikishiwa government deals na usalama wa biashara zake

Ndio maana baada tu ya majadiliano aliandaa tuzo wa Rais bila kushirikisha kamati kuu ya chama, aliandaa mwenyewe kwa appreciation ya waliyomfanyia yeye mwenyewe.

FAM anatumia mgongo wa cdm kwa maslahi yake binafsi na mtu yoyote atakaetaka kuingilia maslahi yake, uenyekiti, lazima aidha ufe ama ufukuzwe kwenye chama.
Yes nakubaliana na wewe
 
Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.
Shoti za umeme zkitumika sku Moja ili asaidie ufelelezi atasema Kila kitu
Tena wanzie kwenye issue za Wangwe, Saa8, na matukio mengine yaliyofuatia.
 
Back
Top Bottom