Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.Kifo cha Ali Kibao kimeumiza mioyo ya wengi. Karma itahukumu kwa haki hata kama uchunguzi wa tume ya Mama Abdul hautakamilika.
Nani atampiga shot za umeme wakati wanaotakiwa kufanya hivyo wampo pamoja na yeye?Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.
Shoti za umeme zkitumika sku Moja ili asaidie ufelelezi atasema Kila kitu
Kweli kabisa!Huo ni mtazamo mwingine pia, inategemea unakua umesimama wapi muda huo
Hebu jitahidini kuwa objective kwa mazuri ya maridhiano na sio ku concentrate na mapungufu tuu!.Uwepo wa maridhiano umewajibika vipi katika haya?
1. Watu waliotekwa, kuteswa na kuuawa
2. Watu waliopigwa risasi na manyanyaso mengine wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
3. Hujuma zote zilifanyika kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
4. Ukiporwa mali yako halafu mkafanya mazungumzo na yule mporaji kisha ukarudishiwa mali yako hiyo ni faida ya maridhiano?
Huyo ndo Mwamba wa akina Boni egg anayetakiwa kuvusha jahazi,
Mpaka hapo tu, ameshafail.
Hakuna anayekataa kwamba maridhiano hayana faida. Lakini maridhiano ya CHADEMA na CCM kuna faida gani pale?Hebu jitahidini kuwa objective kwa mazuri ya maridhiano na sio ku concentrate na mapungufu tuu!.
P
Yes nakubaliana na weweMaridhiano makubwa kwa FAM ni pale aliporudishiwa akaunti zake za benki, kuhakikishiwa government deals na usalama wa biashara zake
Ndio maana baada tu ya majadiliano aliandaa tuzo wa Rais bila kushirikisha kamati kuu ya chama, aliandaa mwenyewe kwa appreciation ya waliyomfanyia yeye mwenyewe.
FAM anatumia mgongo wa cdm kwa maslahi yake binafsi na mtu yoyote atakaetaka kuingilia maslahi yake, uenyekiti, lazima aidha ufe ama ufukuzwe kwenye chama.
Nani atampiga shot za umeme wakati wanaotakiwa kufanya hivyo wampo pamoja na yeye?
Umeona ee, nilikuwa nachokoza fikra mkuu.Nani atampiga shot za umeme wakati wanaotakiwa kufanya hivyo wampo pamoja na yeye?
Tena wanzie kwenye issue za Wangwe, Saa8, na matukio mengine yaliyofuatia.Huwa nawaza polepole nikiwa bafuni au chooni,huyu FAM achunguzwe vizuri.
Shoti za umeme zkitumika sku Moja ili asaidie ufelelezi atasema Kila kitu