Je hizi ndizo sarafu za utajiri? zipo nyingi sehem fulani..

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,461
Reaction score
4,272
nimezipata wakati nipo nachunga ng'ombe kwenye pori fulani(sitalitaja kwa sasa)
zilikuwa kwenye korongo moja ambalo nimeliona baada ya mbuzi msumbufu kutumbukia huko.....
naambatanisha picha hapa
 
Wachunga ng'ombe na smartphone huku ukiperuzi JF. Safi sana. [emoji122][emoji122]That is develelopment mkuu.
zamani tulikua tunachunga na redio zinaitwa Rising na uhakikishe una antena iliyo ongezwa waya ili kunasa mawimbi

ila sasa na tekno zetu hizi mambo laini kabisa
 
Acha utani...huo utajiri unakujaje kwa kuwa na hiyo RUPIE.? tiririka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…