Je hizi ni habari za ukweli juu ya ikopo ya elimu ya juu mwaka huu

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
413
Hivi ni kweli kuhusu taarifa za bodi ya mikopo wa elimu ya juu mwaka huu,kuwa mkopo watapata wanafunzi wa faculty of science and faculty of education.Maana hizi taarifa zinatuchanganya kutokana na tetesi za mitaani.Naomba kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hilo atupe (briefly).
 
Last edited:

Hizo si taarifa sahihi. Bodi ya mikopo wanatoa inf zao mara kwa mara. Hao jamaa wa science na education watapata mikopo hadi division three maana ndio priority, wengine mwisho division two
 
....na kwamba wa Science na Education watapewa mkopo 100% wakati wengine inaweza kuwa pungufu?
 
Back
Top Bottom