Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Nawasalimu wote.
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza naombeni mchangie mawazo yenu kuhusu soko lake na bei yake kesho nitaiweka picha ya hiyo sarafu humu. Mara ya mwisho nafikiri mwaka juzi hiyo sarafu ilikuwa inatafutwa kwa Tsh 10million za kitanzania, japokuwa baadhi ya watu walisema siyo bei sahihi ya hiyo sarafu, bei yake ipo juu. Siyo sarafu ya nchi hii, kesho ntaiweka picha kwa maelekezo zaidi. Nawakaribisha kutoa maoni yenu na ushauri.