Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Kama kweli unayo hiyo sarafu piga picha uweke na tarehe ya kesho ndani ya hiyo picha ya Sarafu huku umeishika kwa kidole sio kuokota picha za sarafu za mitandaoni ukatuwekea hapa hatutaki utapeli .Nawasalimu wote.
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza naombeni mchangie mawazo yenu kuhusu soko lake na bei yake kesho nitaiweka picha ya hiyo sarafu humu. Mara ya mwisho nafikiri mwaka juzi hiyo sarafu ilikuwa inatafutwa kwa Tsh 10million za kitanzania, japokuwa baadhi ya watu walisema siyo bei sahihi ya hiyo sarafu, bei yake ipo juu. Siyo sarafu ya nchi hii, kesho ntaiweka picha kwa maelekezo zaidi. Nawakaribisha kutoa maoni yenu na ushauri.
Sawa nitaiwekaKama kweli unayo hiyo sarafu piga picha uweke na tarehe ya kesho ndani ya hiyo picha ya Sarafu huku umeishika kwa kidole sio kuokota picha za sarafu za mitandaoni ukatuwekea hapa hatutaki utapeli .
Sawa mkuuSoko lake sna ni maeneo ya K. Koo mabarabarani utasikia tunanunua pesa mbovu na sarafu za zamani
Usanii mtupu, Dinia iko kwenye cashlwss sio tena sarafu.Nawasalimu wote.
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza naombeni mchangie mawazo yenu kuhusu soko lake na bei yake kesho nitaiweka picha ya hiyo sarafu humu. Mara ya mwisho nafikiri mwaka juzi hiyo sarafu ilikuwa inatafutwa kwa Tsh 10million za kitanzania, japokuwa baadhi ya watu walisema siyo bei sahihi ya hiyo sarafu, bei yake ipo juu. Siyo sarafu ya nchi hii, kesho ntaiweka picha kwa maelekezo zaidi. Nawakaribisha kutoa maoni yenu na ushauri.
Hii ndio kazi yake hasaUnaweza zitumia kwenye utapeli.