Je honda wave 110i bei yake ni shilingi ngapi ikiwa used na ikiwa dukani?

Je honda wave 110i bei yake ni shilingi ngapi ikiwa used na ikiwa dukani?

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
336
Reaction score
145
Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani?
1396663750505.jpg
 
La muhimu ni ukihitaji unazipata wapi kwa hapa Tanzania.

Nimeipenda hii scooter pamoja na Vespa gts 300, zikiwa mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom