Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani?
Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani? View attachment 149207