Butterfly_Me
New Member
- Feb 17, 2024
- 3
- 7
God forbid!!
Mkuu,
[emoji38]Mkuu,
Asante kwa kunitambua na kuniita huku.
Umenitag mimi ndiye natumia ARV au vipi?
Au ndiyo nishakuwa balozi wa Diaspora JF?
Marekani ni mfano mbaya wa huduma za afya za diaspora, huku ni ubepari kwenda mbele.
Paying for HIV Care and Treatment
HIV care and treatment involves taking HIV medicine called antiretroviral therapy (ART) and having regular check-ups with your health care provider, who will...www.hiv.gov
Nchi za ulaya magharibi na USA ukiwa na ngoma unaenda?tatizo umeficha jina la iyo nchi unayoenda labda wadau apa wangekusaidia kujua ayo mambo maana dunia nzima ipo umu jeieF
ila sio kesi
kwa kukusaidia ingia kwenye web utapata izo kujua mambo zote
cha kukuongezea hakikisha unapata taarifa sahihi maana kuna nchi hasa za kiarabu zinazuia v+ anayeenda kufanya kaz au kukaa kwa muda mrefu
kila laheri
daah we jamaa!Nchi za ulaya magharibi na USA ukiwa na ngoma unaenda?
Asante kwa link ngoja nipitie. Niliuliza humu ili kupata angalau majibu kwa wale waliosafiri.daah we jamaa!
kuna nchi inaitwa ulaya magharibi?
acha uvivu ingia Google search tu kuna resource kibao nimekuekea moja hapo chini
Unajifanya ujui hali yako unapima upyaHabari za jioni, ninaomba kufahamu,
Je, huduma ya CTC Clinic (ARV) inatolewaje Kwa diaspora wanaoishi na VVU?
Kwa mfano mtu anayeishi na VVU akitoka Tanzania kwenda kuishi/kusoma/matembezi nchi za nje like USA, Canada, Japan, China, Germany etc
Atatakiwa kufanya process gani ili aendelee kupokea huduma ya ARV akiwa kwenye nchi za huko ughaibuni?
View attachment 2907422
Pole mkuuIla ngoma inatutesa wengi aisee. Mwaka wa nane nakuka pipi na kitambii kama chote
Yote yanaweza kuwa majibu mkuu.Mkuu,
Asante kwa kunitambua na kuniita huku.
Umenitag mimi ndiye natumia ARV au vipi?
Au ndiyo nishakuwa balozi wa Diaspora JF?
Marekani ni mfano mbaya wa huduma za afya za diaspora, huku ni ubepari kwenda mbele.
Paying for HIV Care and Treatment
HIV care and treatment involves taking HIV medicine called antiretroviral therapy (ART) and having regular check-ups with your health care provider, who will...www.hiv.gov
Sasa hapa umeleta vijembe.Yote yanaweza kuwa majibu mkuu.
Huko huduma za jamii si zimeboreshwa sana mkuu inakuaje tena ubepari hadi kwenye huduma muhimu kama za afya!!