The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma?
Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea pale. This time vyote hivyo havipo.
Naomba kufahamishwa huduma za usafiri pale kutoka KIA kwenda Arusha ama Moshi.