The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Tembea mdogo wangu upate exposureNijuavyo zipo dsm tu
Hujajibu mkuu, zipo ama hazipo.Njoo tu
Bolt za nini?shattle,taxi zimejaa kibao hapo,vijana wanachangamkia fursaNaomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma?
Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea pale. This time vyote hivyo havipo.
Naomba kufahamishwa huduma za usafiri pale kutoka KIA kwenda Arusha ama Moshi.
Shuttle ni 10k hadi 15k ila utakaa Kwa saa 2 au 3 mfike wengi kidogo,au Download indrive na hii ni mara chache sana otherwise andaa 70k kutegemea unapokwenda Kwa tax ,Mimi Sina ujinga kama mke au rafiki wako busy , natoka nje ya airport boda ya Buku 3 mpaka main road Kisha buku jero mpaka chuga ,Bora hiyo Hela nitoe sadaka na wine.Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma?
Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea pale. This time vyote hivyo havipo.
Naomba kufahamishwa huduma za usafiri pale kutoka KIA kwenda Arusha ama Moshi.
Sawa mkubwa wanguTembea mdogo wangu upate exposure
ni option piaShuttle ni 10k hadi 15k ila utakaa Kwa saa 2 au 3 mfike wengi kidogo,au Download indrive na hii ni mara chache sana otherwise andaa 70k kutegemea unapokwenda Kwa tax ,Mimi Sina ujinga kama mke au rafiki wako busy , natoka nje ya airport boda ya Buku 3 mpaka main road Kisha buku jero mpaka chuga ,Bora hiyo Hela nitoe sadaka na wine.