Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Pita pita zangu katika mitandao nimeona mivutano ya hapa na pale mivutano hiko hivi:-
Maada yangu sasa.
Ukiangalia hali ngumu na watu maskini ni kila nchi wapo.
Yaani omba omba na walala nje hakuna mahali wanakosekana.
Je tutumie kipimo gani ili kumtambua mwenye nafuu.
- A) wananchi wa Rwanda wanamaisha magumu kuliko wa Tanzania B)hapana wananchi wa Tanzania ndio wako na uchumi mgumu zaidi kuliko Rwanda
- A) Kenya ndio mambo safi zaidi, kwanza pesa yao iko juu na inathamani kubwa kuliko Pesa ya Tanzania na pia kenya ilishaamka kimaendeleo zamani sana. B) Acha ujinga wewe, kenya ipi unayoiongelea? Kenya maandamano kila siku? Si tumeona juzi tu mkigombea ugali?
- A) South Afrika ndio mambo poa sana siku na imekucha sana. Hata wananchi wake wako na uchumi mzuri. B) kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. South hali ngumu watu kikubwa south unaona imeendelea pale mjini tu lakini ukija vijijini hali ni kuliko Tanzania au kenya.
Maada yangu sasa.
Ukiangalia hali ngumu na watu maskini ni kila nchi wapo.
Yaani omba omba na walala nje hakuna mahali wanakosekana.
Je tutumie kipimo gani ili kumtambua mwenye nafuu.