Je? Huu msala ungeusovu vipi!

Je? Huu msala ungeusovu vipi!

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni sugar mumy wako na ndo aliokununulia gari ambalo unatamba nalo kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambae ni wakili alie kutetea katika kesi yako ya ubakaji

Je? Ungefanyaje?
 
Mmmmh! hapo unakuwa mdogo kama piriton....!! Lazima uloweshe suruali kwa mbele
 
Tunga vizuri hiyo stori yako! Kwahali ya kawaida haiwezekani kukutana na hayo yote kutoka familia moja.

Labda hiyo itakuwa tamthilia..
 
namwaambia kipindi hicho ulikuwa utoto sasa nimekuwa mkubwa
 
unapiga kimya msala utajisolve wenyewe kwa atakayelianzisha so long as kwao hawajui kila moja ana uhusiano gani na wewe.
 
Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni sugar mumy wako na ndo aliokununulia gari ambalo unatamba nalo kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambae ni wakili alie kutetea katika kesi yako ya ubakaji

Je? Ungefanyaje?

Hivi vitendawili vya darasa la kwanza peleka kwa watoto wadogo ambao ndio wanajifunza hesabu za magazijuto eti nataka kuvuka kwenye mtumbwi nina simba,mbuzi na majani eti ntaanza kubeba kipi kwenye mtumbwi.Unajua kabisa huwezi kuwa na simba, majani na mbuzi kwenye mtumbwi, so ni kama hadithi yako unayotaka watu waumize vichwa hapa.Lakini kwa kuwa watu hatuko busy watakupatia majibu ya hadithi yako mwaya subiri
 
unajifanya kama huelewi kitu huku unasubiri tu kitakachotokea maana hapo umasikini na kuharibiwa uso hakupo mbali,,!
 
ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
huu uzi peleka kuleee jukwaa la chitchat au jokes
 
Back
Top Bottom