Je huu NDIO UCHUMI WA TANZANIA KUKUA AU KUENDELEA?

Je huu NDIO UCHUMI WA TANZANIA KUKUA AU KUENDELEA?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Salam wanaJF wenye tafsiri kamili za Uchumi na mgawanyo wa rasilimali za kimaendeleo

Je uchumi wa Tanzania unakua au unaedelea?
Je matumizi yakujirudiarudia katika uendeshaji wa shughuli za kiserikali zinatija kiasi gani ktka kukuza Uchumi au kuendeleza uchumi?
Je uwekezaji wa Mitaji katika sekta mbalimbali Tanzania zinaonesha tija endelevu?
Viwanda vilivyopo vinazalisha bidhaa zinzojali afya za zasilimali watu wa Tanzania(TBL,SBS,Sigara,Mawsiliano ya simu) au pia viwanda vya ndani vinahuisha vipi uchumi wa Tanzania
Viwanda vilivyokufa vitafuufuliwa lini?au no current market analysis ?
Kwanini baadhi ya wizara ziendelee kuwepo angali hakuna tija zinazoonekana? mfano UCHUKUZI,kAZI NA VIJANA,

Wachumi wa JF nisaidieni mtanzania mwenzenu tafadhali
 
Back
Top Bottom