Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?


Umeandika vizuri sana, na umetoa mchanganuo kwa ufasaha, HONGERA.
Lakini ningependa sana kama ungejaribu kuangalia kwa upana mifumo ya watendaji wetu na experience of inefficiency ambayo wanaendelea nayo na imekuwa ngumu sana kuwatoka katika utendeji wao.

Hali hiyo inakaribisha mwenye kutaka matokeo bora na sahihi wagombane nae mara kwa mara. Ni watendaji wachache sana ambao wamekuwa pro active na wanaendana na Mkulu.

Kama Mkulu angebaki katika uongozi kwa miaka mingine ishirini yawezekana tungekuwa na one of the most efficient public service in Africa.

Watu kama Mkulu wamepita wengi na ndio walio badilisha mifumo ya uendeshaji na kuboresha katika nchi zao. Gen. Charles de Gaulle (France), Gen. Eisenhower(USA), Stalin (SOVIET UNION, Gen.

Caetano (PORTUGAL), Gen.Titto (YUGOSLAVIA) . Kwa kumalizia, kila shilingi ina pande mbili, lakini kuwa efficient Public service ambayo Mkulu anaitaka na angekaa muda mrefu angeipata hata kama inge kuja kwa maumivu na machungu. Kuna maumivu tunayapita wakati wake lakini tutamkumbuka sana.

UZEMBE HUWA HAUTETEWI , kuna tofauti ndogo sana kati ya mzembe na mwizi, Wote wazembe na wezi huleta HASARA.
 
Ni kweli tunakoenda siko
 
Mkuu Gerald Magembe, kwanza naunga mkono hoja yako hii na kitu kama hiki niliwahi kukishauri humu, huyu mtu anahitaji the minimum ya angalau miaka 20 kuinyoosha Tanzania.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

P
 
Wanabodi,

Angalia kilichofanyika hapa:


Isn't This Bullying and Intimidation?.
Hapa nauliza tuu, kilichofanyika hapa, isn't this bullying na intimidation?. Kwa vile
Paskali
Hii ilikuwa bullying and intimidation!.
Alichokifanya RC Makonda is exactly the same!. Bullying and intimidation!.
P
 
Afrika bana,

Mttaaani mtoto kikojozi aliyekubuhu, wazazi humtwisha godoro na kumzingusha mji mzima azomewe.

Baada ya zomea hiyo, hakojoi tena.
 
Hii ilikuwa bullying and intimidation!.
Alichokifanya RC Makonda is exactly the same!. Bullying and intimidation!.
P
Kama Bado pHD za kugawa zimebaki, basi huyu Mama agaiwe ya kwake, Ukariri kila kitu wakati mtu una idara zaidi ya 15 na familia, na mume anakusumbua, ndugu na watoto?
Hesabu si zinakaa kwenye makaratasi?

#Ushamba mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…