clemencemlai
Member
- May 3, 2010
- 24
- 2
mwanamke tulifunga ndoa nae kiserikali anadai talaka kila kukicha ,anatoroka hatimaye ,baada ya mwaka unagundua anaishi na mwanaume mwimngine maeneo fulani na wanataka funga ndoa nyuma aliacha mtoto 1.je naweza kumfungulia mashitaka mwanamke au huyo mwanaume na kwa utaratibu upi?
mwanamke tulifunga ndoa nae kiserikali anadai talaka kila kukicha ,anatoroka hatimaye ,baada ya mwaka unagundua anaishi na mwanaume mwimngine maeneo fulani na wanataka funga ndoa nyuma aliacha mtoto 1.je naweza kumfungulia mashitaka mwanamke au huyo mwanaume na kwa utaratibu upi?
Sheria yetu ya Ndoa ya mwaka 1971,inaitambua ndoa ya kiserikali kama doa halali.Hata hivyo si wewe binafsi au kiongozi wa dini mwenye uwezo wa kutoa talaka.Ni mahakama tu ambayo ni taasisi yenye kuvunja ndoa.Pia sheria ya ndoa inasisitiza uwepo wa sabau za msingi zenye kudhibitishwa na mwomba talaka ili kufikia hatua ya kuvunja ndoa.Kwakuwa sababu kubwa hapa ni ugoni,huo ni ushahidi ambo mahakama yaweza kuridhika na kuivunja ndoa.Kuhusu kumshtaki mwanmke au mwanume.Unazo njia mbili.Kwanza waweza kufungua shauri la madai ukimdai fidia huyo mwanaume kwa kutembea na mke wako.Pili waweza kufungua shuri mahakamani ukiomba mahakama ivunje ndoa.Lakini lazimakwanza ufuate hatua za awali kama sheria inavyoelekeza.Au pia hilo shauri la kuvunja ndoa waweza kuliunganisha na shauri la madai kwa mwanaume,yaani kuwashtaki wote kwa pamoja.Pole sana.
Very educative and well explained. Kwa maaana hiyo ndoa zooote ambazo wanandoa wamepatiana ambazo hazikupita mahakamani ni BATILI
Mtu yeyote akitaka ndoa ya serikali jua kabisa hayuko commited kwako 1+1=11 kama ukitoa ufafanuzi zaidi ya ulichoandika hapo itaoa maelekezo ja jinsi mtu husika annavyo weza kuchukua tahadhari ya ain ipi ya ndoa ndio inayopaswa kufuatwa na kuondoa mashaka . pia eleza kwa takwimu aina zipi za ndoa zenye kiasi kidogo cha mitafaruku.