EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
Habari zenu wana jf ?
Kama mu wazima wa afya basi jina la bwana lihimidiwe ?
Nakuja kwenu tuweze kubadilishana mawazo kuhusu tatizo linalonikabili ?
Ni kwamba mwenzenu kila ninapokutana faragha na patner wangu uume wangu huwa hautoi kabisa manii (yaani sipigi bao) japokuwa nasimamisha vizuri na nnapata raha zote.
Hata nikae mda gani kiunoni zaidi zaidi huwa naishia kuchoka tu .
Sasa basi naomba mnisaidie mawazo ?
(1) je huu ni ugonjwa ?
(2) kama ni ugonjwa unaitwaje kitaalamu ?
(3) nini husababisha tatizo hili ?
(4) je kuna madhala yoyote naweza kupata hapo baadae ?
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu wadau.
asante jemedari hii kitu inanikosesha sana amani ?pole sana mdau! hapo kutakuwa kuna tatizo ama la kimwili au kiakili. lakini kwa vile jogoo linawika basi hii inaweza isiwe issue kubwa sana ngoja tuwapishe watalam zaidi wakupe ushauri wao kuhusu kadhia hii
mkuu.@EL MAGNIFICAL Pole sana kwa hayo yanayokukuta imi ninakuonea wewe wivu ukicheza mchezo na shemji yangu mke wako hupigi bao yaani hushindi goli? Ahh miye ninakaa siku 3 au 4 siku nikikutan na
shemeji yako mke wangu nikipiga analia sana huwa natoa nyingi Shahawa tuu mpaka anapiga makelele ,kwa sababu
ninakula njugu,cheese, Karanga mbichi na vyakula vyete kuleta shahawa kwa wingi mwilini ningelikushauri uwe unapo fanya
mapenzi na shemeji yangu uwe akili zako na mawazo juu yake na juu ya tendo la mapenzi usijaribu kufikiri
maisha au matatizo yako ya maisha utakuwa unarusha stemu zako jaribu akili yako kuwa kwenye tendo la
sex na uwe unamuangalia shemeji yangu mwili wake wakati wa tendo la sex utatoa haraka shahawa.Na
kama itashindikana nenda Hospitali kamuone Daktari umueleze wala usimfiche atakuwa ushauri mzuri
zaidi.Jaribu huo ushauri wangu kisha uje hapa unipe feedback.
Pendelea kula Vitu hivi utatowa shahawa za kumwaga Mkuu
cheese
njugu za chumvi.