Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Rudia kusoma sio kukurupuka kukomentidawa gani alizotumia.?
Hajakurupuka. ..rheumatic na arthritis ni magonjwa wa wala si dawa nafikiri ulieelewa tofauti wewe piaRudia kusoma sio kukurupuka kukomenti
Rudia kusoma sio kukurupuka kukomenti
Hajakurupuka. ..rheumatic na arthritis ni magonjwa wa wala si dawa nafikiri ulieelewa tofauti wewe pia
Hongera zakoNyie mtakuwa wagonjwa pia maana sioni sababu ya kubishana hapa wakati mwenzenu mgonjwa
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani
hahahahNyie mtakuwa wagonjwa pia maana sioni sababu ya kubishana hapa wakati mwenzenu mgonjwa
Ninakushauri Aende hospitali kupima Mafigo yake je yanafanya kazi vizuri? Kuvimba kwa mikono au miguu pia kunachangia mafigo yakiwa hayafanyi kazi vizuri basi itakuwa ndio sababu ya maradhi ya kuvimba. Dawa ya kuweza kumtibu bibi yako ninazo ukiweza kunitafuta mimi nitafute kwa njia mbili njia ya kwanza ni baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com What's App+905344508169 Ushauri wangu awe anakunywa maji mengi ya Uvugvugu.Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani
Akitumia vyote hivyo je ataweza kupona au ndio unataka kummaliza kabisa?Rheumatoid arthritis. Inawezekana huu ndio ugonjwa unaomsumbua. Aende akapate ushauri wa daktari mwengine. Dawa za hospitali zinaweza kumsaidia kwa muda mfupi tu inategemea ni kiasi gani ulivyomuathiri. Diet nzuri inahitajika, kama kuacha kula baadhi ya vyakula anavyohisi vinamzidishia matatizo. Ajaribu kunywa juice ya tangawizi maranyingi kila siku. Uwatu ( fenugreek seeds) Kijiko cha chai kimoja kila siku asubuhi kabla ya kula kitu, anaweza kuchemsha na maji au kuroweka usiku ili anywe asubuhi na mbegu zake. Atumie Manjano safi (Turmeric). Mdalasini, Aloe Vera, Ufuta, Carrots, Vitungu maji. Matunda kama Maembe, Papai, Zabibu, Apples. Ale Samaki, Dagaa, Vitunguu thom. Nyama nyekundu na maziwa asitumie. Anywe maji sana. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanasaidia.
Hapana, sina maana hiyo. Hizi ni baadhi ya options tu ambazo nimejaribu kumshauri kutumia kwa atakavyoweza, haina maana kua anatakiwa kutumia vyote kwa wakati mmoja, anaweza kuchagua baadhi atakavyoweza kuvipata kirahisi hapo alipo. Ni vitu ambavyo anaweza kuingiza kwenye diet yake ya kila siku. Ni vyakula vya kawaida ambavyo anaweza kutumia mtu yoyote kuboresha afya yake sio lazima uwe mgonjwa. Mimi pia natumia baadhi ya hivi kwenye maisha yangu ya kawaida.Akitumia vyote hivyo je ataweza kupona au ndio unataka kummaliza kabisa?