Mama Mchungaji
Member
- Sep 4, 2009
- 23
- 0
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi chochote. je huyu anaweza kuwa na tatizo gani? naomba kama kuna tiba ya huu ugonjwa basi niambieni. tiba yoyote tafadhali.
Bwana asifiwe mama mchungaji
Mod watakusaidia kuiweka sehemu husika na mdogo wako atapata msaada mapema iwezekananvyo
lol!Umri mdogo sana huo kuanza ngono!NINAWALILIA VIJANA TAIFA LA KESHO!NINAWALILIA WANA-JF....!
lol!Umri mdogo sana huo kuanza ngono!NINAWALILIA VIJANA TAIFA LA KESHO!NINAWALILIA WANA-JF....!
Maandalizi yanakuwa ya kutosha kweli? miaka yeyewe hiyo inaonesha bd wanajifunza
Amen!
That is what it takes to be the firstlady! I am impressed with this comment!
naomba mkiwa mnanijibu zingatieni haya. huyu mpenzi wake anampenda sana. mahali wanapokutaniana ni paheshima tu, na umri wake ni wakutosha kuwa kwenye mahusiano. tatizo linaweza kuwa kwenye mwili? labda hormone fulani zimepungua, au? kwa kweli mi nilijiuliza maswali ya namna hio na mengine zaidi..