Huyu mdogo wako naomba umuuliza akiwa kwake kuna ndoto zozote anaziota akiwa nafanya hilo tendo?kama jibu ni ndio basi Mdogo wako ana mpenzi wa Kijini ambaye hataka au kumruhusu afanye tendo na binadamu.
Ni history ya kweli ya mdogo wangu alikuwa hivyo kilichotokea kweli ilibidi akatubu madhambi yake yote.
Please mama mchungaji muulize awe mkweli kuhusu hili tuache masuala ya kuandaliwa au nini hayo ni mambo yapo kwenye jamii yetu.