Je huu ni ugonjwa gani?

Je huu ni ugonjwa gani?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
DALILI ZAKE NI KUVIMBA TUMBO.
HAMNA MAUMIVU YOYOTE WALA UVIMBE SEHEMU NYINGINE.
MOYO UMEPIMWA UKO SAFI, KILA KITU SAFI.
226936_Mrs-Olotu_gif48b5c6386316e9566f26d9e03ace84d0
 
Ebu weka wazi zaidi tumbo linavimbaje? Kwa kiwango gani? Kwa muda gani? Wakati gani?
Tukipata majibu ya maswali haya tunaweza kushauri au kugundua ni ugonjwa gani
Otherwise Mpe pole anayeumwa😛ainkiller:
 
Tumbo linaongezeka ukubwa kila wiki hali inakuwa mbaya zaidi.
 
DALILI ZAKE NI KUVIMBA TUMBO.
HAMNA MAUMIVU YOYOTE WALA UVIMBE SEHEMU NYINGINE.
MOYO UMEPIMWA UKO SAFI, KILA KITU SAFI.
226936_Mrs-Olotu_gif48b5c6386316e9566f26d9e03ace84d0

Kama umepima kila kitu huko Hospitali na umepiga picha ya Xray? na kama umepiga pia picha ya Xray hawaoni kitu basi itakuwa ni mambo ya Kiuchawi huo sio ugonjwa wa kuweza kutibika Hospitalini jaribu kuwaona Wataalam wa Kienyeji wanaweze nao kukusaidia kimawazo.Pia waweza kujaribu Dawa hii Kuchemsha Tangawizi kavu (GINGER) chemsha pamoja na sukari kwa kiasi uwe unakunywa kwa kutumia Glasi tatu kwa siku kunywa kabla ya kula kitu itakusaidia kuondosha huo Uvimbe wa Tumbo.

Au tumia pia hii Kammun(Cummin) Bizari nyeusi ya Pilau ni dawa ya Maradhi Mengi ikiwa ya tumbo pia inasaidia inatibu tumbo la kusokota tumbo la kuvimbana kwa wanawake wanaozidi Damu ya hedhi pia inasaidia kupunguza hiyo damu nahiyo dawa inasaidia kutowa wadudu tumboni (Minyoo) chemsha na maji unywe Glasi tatu kila siku kabla ya kula kitu uwe unatumia hiyo Dawa itakusaidia

Dawa ingine hii inasidia Kuondosha Uvimbe wa Tumbo Upate Unga wa Habalsoda Au jina lingine (Nigella Seeds, or Black Cummin)
Kiasi cha kijiko kimoja na kijiko cha unga wa Urkusus (licorice) hivyo vyote Utavichanganya na Juisi ya Pea iliyotengenezwa pamoja na Kokwa zake hiyo juisi kisha unywe utaona nafuu inshallah . ikikusaidia nijuulishe haraka. Give me feedback
 
Pia waweza kujaribu Dawa hii Kuchemsha Tangawizi kavu (GINGER) chemsha pamoja na sukari kwa kiasi uwe unakunywa kwa kutumia Glasi tatu kwa siku kunywa kabla ya kula kitu itakusaidia kuondosha huo Uvimbe wa Tumbo. Au tumia pia hii Kammun(Cummin) Bizari nyeusi ya Pilau ni dawa ya Maradhi Mengi ikiwa ya tumbo pia inasaidia inatibu tumbo la kusokota tumbo la kuvimbana kwa wanawake wanaozidi Damu ya hedhi pia inasaidia kupunguza hiyo damu nahiyo dawa inasaidia kutowa wadudu tumboni (Minyoo) chemsha na maji unywe Glasi tatu kila siku kabla ya kula kitu uwe unatumia hiyo Dawa itakusaidia Dawa ingine hii inasidia Kuondosha Uvimbe wa Tumbo Upate Unga wa Habalsoda Au jina lingine (Nigella Seeds, or Black Cummin) Kiasi cha kijiko kimoja na kijiko cha unga wa Urkusus (licorice) hivyo vyote Utavichanganya na Juisi ya Pea iliyotengenezwa pamoja na Kokwa zake hiyo juisi kisha unywe utaona nafuu inshallah . ikikusaidia nijuulishe haraka. Give me feedback
Very nice MM, asante
 
Back
Top Bottom