Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
DALILI ZAKE NI KUVIMBA TUMBO.
HAMNA MAUMIVU YOYOTE WALA UVIMBE SEHEMU NYINGINE.
MOYO UMEPIMWA UKO SAFI, KILA KITU SAFI.
Very nice MM, asantePia waweza kujaribu Dawa hii Kuchemsha Tangawizi kavu (GINGER) chemsha pamoja na sukari kwa kiasi uwe unakunywa kwa kutumia Glasi tatu kwa siku kunywa kabla ya kula kitu itakusaidia kuondosha huo Uvimbe wa Tumbo. Au tumia pia hii Kammun(Cummin) Bizari nyeusi ya Pilau ni dawa ya Maradhi Mengi ikiwa ya tumbo pia inasaidia inatibu tumbo la kusokota tumbo la kuvimbana kwa wanawake wanaozidi Damu ya hedhi pia inasaidia kupunguza hiyo damu nahiyo dawa inasaidia kutowa wadudu tumboni (Minyoo) chemsha na maji unywe Glasi tatu kila siku kabla ya kula kitu uwe unatumia hiyo Dawa itakusaidia Dawa ingine hii inasidia Kuondosha Uvimbe wa Tumbo Upate Unga wa Habalsoda Au jina lingine (Nigella Seeds, or Black Cummin) Kiasi cha kijiko kimoja na kijiko cha unga wa Urkusus (licorice) hivyo vyote Utavichanganya na Juisi ya Pea iliyotengenezwa pamoja na Kokwa zake hiyo juisi kisha unywe utaona nafuu inshallah . ikikusaidia nijuulishe haraka. Give me feedback