Amnesia ni ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu
(loss of memory) ugonjwa huu aghlabu huwatokea vizee na watu wenye matatizo ya akili.
Mara nyingi mgonjwa husahau maneno au majina ya watu wake na mara nyengine husahau hadi jina lake pamoja na ukoo wake mzima, na husau yote yale yaliyopita katika maisha yake.
Sababu kuu ya maradhi haya ni kutengana kwa cells za ubongo kwa maradhi ambayo yanawakumbuka kwa njia moja au njia nyengine kutokana na upungufu wa mwendo wa damu ndani ya mwili.
Maradhi haya pia husababisha mtu kuwa kama "Zuzu" na mtu wa kutojifahamu.
Pia mtu anaekumbwa na maradhi haya mabaya, ima atakumbuka mateso yaliyomkumbuka au atakumbuka utoto wake na ukumbukaji wake unakuwa wa muda mdogo sana hauchukui hata dakika 10 basi tayari anakuwa kishasahau.
Rosemary: ni moja katika dawa inayojulikana kwa kuondoa au kupunguza maradhi haya. Zamani watu walikuwa wakichemsha majani yake na kuvuta harufu yake pia walikuwa wakitengeza chai kwa majani ya rose mary kwajili wagonjwa.
Lozi: ni moja katika dawa za kuzidisha memory. Chukua lozi 10-12 na uziroweshe katika maji usiku wa kucha na uzitoe maganda yake na uzile kila siku. Pia uvute harufu ya mafuta yake kila asubuhi.
Walnut: nayo ni dawa inayosaidia sana kurudisha memory kila siku asubuhi ule kiasi ya 20gm pamoja na raisin 10 gm.
Apple pamoja na asali nayo ni dawa nzuri kwa maradhi hayo kila siku uwe unakula pamoja na kikombe kimoja cha maziwa.
Saga pili pili manga chembe 5 uchange na asali na unywe asubuhi na jioni kila siku.
Mgonjwa apewe zaidi maziwa ya ngo'mbe pamoja na fruits kwa wingi.
Anatakiwa apate masaa yake nane ya kulala bila kukerwa.
Mgonjwa wa aina hiyo anahitaji mapenzi zaidi kwa watu wake wote wa karibu. Kwani kiroho mwenyewe huhisi ametengwa lakini anakuwa hajijui kama yeye hajifahamu wala hakumbuki kitu yeye anaona kuwa anatengwa na kuonewa. Tumia mkuu kisha unipe Feedback.........................
strong lady
Lozi (Almond)