mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Yes, it is psychological. Mbele ya mwanamke unashtuka na kufadhaika. Yawezekana unakuwa hujiamini kama utafanya vizuri. Hii inatokea hasa kama mwanamke mara yako ya kwanza kukutana naye. Jaribu kutulia, kujenga confidence na kuondoa wasiwasi/woga.
Nashukuru sana mkuu!!Nadhani madaktari wako sahihi, kama inasimama before maana yake hauna any physical problem, ni ile "performance anxiety" ndo inaleta matatizo. Nadhani unaweza kuonge na psychologist kuhusu hilo.
Pia Google na cheki hapa: http://www.askmen.com/dating/love_tip_60/79b_love_tip.html
Nope,hutokea once nikitaka kuvaa kondom ndio hulala,lakini siwezi sema labda husababishwa au nina alergy na kondom,b 4 that nilikuwa navaa fresh na hailali,imetokea suddenly tu,sasa sijui nini chanzo,kuhusu u bisexual mimi huwa sina hisia hizo since day one!!Kuna masuala mengi hapo inatakiwa uyaeleze,
Je , hali hiyo hutokea sababu ume vaa condom, kuna wengi wakiwa wanataka ku do wakiona condom tuu kitu kina lala.
Je , huna haliyetote ya ki bisexual, labda una matamanio zaidi kwa male kiasi cha kushindwa ukiwa na demu.
Nna swali huku.. Nifanyaje nkitaka sex tu uume unasinyaaa???
Erecto nd nn hyoooi