Je, huu ni upungufu/ukosefu wa nguvu za kiume?

Erecto ni dawa ya nguvu za kiume ukianza kupiga mchezo ni zaidi masaa nane ngoma itakua chuma tu inauzwa elf mbili tu phamacy

Ila umeongeza chumvi mno by theway kuna pia manix cupid antraviron na k-y
 
Nna swali huku.. Nifanyaje nkitaka sex tu uume unasinyaaa???

fanya yafuatayo
1.Acha kupiga punyeto
2.acha kula chipsi na kula vyakula asilia
3. acha kutumia viroba au makonyagi na masigara yako hayo
4.Tafuta demu mzuri na msafi wa mwili hadi nguo zake
5.ukifanya hayo na ukishindwa nitafute kwa email hii johnjerryson2015@gmail.com

N.B
Takupa huduma bure ukipona ndiyo unanilipa
 
Hili tatizo naona linazidi kuwa sugu sasa kijana wa 22yrs anatafuta booster? Na jana kuna mwingine alisema amekula hizo mavitu halafu demu hakutokea...

Hahahaaa utadhani namuona huyo wa pili
 

Pia fanya mazoezi sana kuondoa sumu mwilini
 
acha nyeto, fanya mazoezi na kula matunda,na nafaka
 
Waone wazee bush huko watakusaidia achana na matapeli wa mjini watakumalizia hela bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…