Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Ndugu zangu kuna vitabia flan flan vinakera,mwenye navyo aviache.Mfano:
1. Wenzio wanakula wewe unapenga kamasi
2. Mko internet cafe wewe unaongea na simu kwa lisauti likuuuuubwa,inakera jamani
3.Kujishaua,mara oh juzi nilivyokuwa Dubai,mara oh blackberry yangu bomba,kakuuliza nani?
4.Kutegea bill bar,raundi yako ikifika unakwenda chooni
5. Kuazima kitu cha mtu usirudishe
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.