Je huu ni uungwana?

kazi ngumu mbona mkinyimwa munabembeleza hata kupiga magoti?
 
mmhh teh teh teh

nimekusoma mkuu nitarudisha kale kanokia ka tochi nilikokuazimaga nikaooshee kwa kijiji !!!
 
wap kuna ligi kwenye ayo?
au uji ligi?
kingne kinachonkera ni;

wanaume wasiopenda kuambiwa au kurekebshwa kwa kuzan yey ni mwwanaume basi apaswi kubishiwa au kuelekezwa anapokosea.....
Nshawahi kusema huko nyumba baba ndo kichwa cha nyumba and he is always right,utake usitake Rose!
 

Bishanga bwana, kila mtu aoshe kifaa chake..ha ha pia shukrani ni kwa wote kwa kuridhishana🙂)

mimi inanikera kuchokonoa pua kwa vidole halafu kumpa mtu mkono kumsalimia..ndiyo mana salamu yangu huwa sishikani mikono na watu!!
 

heheh hapo red, waambie bana! Halaf mkuu bishanga lazima utakuwa kwenye top ten ya magreti thinkaz wewe.
 
Bishanga bwana, kila mtu aoshe kifaa chake..ha ha pia shukrani ni kwa wote kwa kuridhishana🙂)

mimi inanikera kuchokonoa pua kwa vidole halafu kumpa mtu mkono kumsalimia..ndiyo mana salamu yangu huwa sishikani mikono na watu!!
Nyie kinamama nyie wa MMU embu acheni kuleta u beijing kwenye tendo la ndoa bana,taratibu za kiafrika shurti kuzingatiwa.
 
Nakereka:


1. mijitu inyojifanya inajua kila kitu
2. wale wavutaji sigara, mko kwenye mkusanyiko lijitu linapuliza fegi yake na mimoshi kuwaendea wengine
3. mko kwenye foleni mwingine anakuja na kuwapita wote bila hata kuomba
 
kubishana na kichwa na kichwa ntakuwa ta.hi.ra....ngoja nkubali yaishe.
thats what i call humility,na ndoa inatakiwa iendeshwe hivo,with humility,mmmmwwwwaaaaaa!!!
 
Kutokana na hii statement below nimejua kweli wewe ni MTAALAM na hubahatishi, hivi mdada/mmama atakiwi akosee step kwako...lol

Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.

And of coz mengine yoote hayo si ungwana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…