shida inakuja sasa yeye hataki kuja na wa kwake hata ukimwambia aje naye sasa utafanyeje unaamua kumdeletemwanamme wa dezign hiyo ana wivu tu,kwa kuwa yeye anajisikia vibaya kufuatana na mpenzi wake,wanaume wengine wanaona raha kufuatana na wapenzi wao.kuna jamaa mmoja namfahamu,kila akienda kunywa huenda na mke wake.hata kama atakutana na marafiki zake,yeye lazima awe na mke wake.ila kwa upande mwengine kama mmezoea kutaniana mtu akiwa na mke wakeutaona tabu kumtania
Unakuta una mtarajiwa wako kwenye mizunguko au mpo kwenye starehe zenu
za weekend rafiki yako anakupigia simu kwa ustaarabu unaenda na mchumba wako
pale yule rafiki yako mnakaa pale ila anakuwa hana raha afu baadae anakuita pembeni
anakwambia MZEE UMEKALIWA YAANI KILA SEHEMU LAZIMA MFUATANE???
Jamani je huu ni ungwana na je huyu ni rafiki mzuri????
sasa hayo mazungumzo ya kinjemba njemba yanajenga yanabomoa??????Huyu si rafiki mwema, yeye ndiye wa kumpotezea. Mie sioni ubaya wowote wa watarajiwa kwenda sehemu yoyote kujirusha kistarehe. Pia hata wale waliokwisha funga pingu za maisha hakuna ubaya wowote wa kufanya hivyo lakini njemba nyingi zitakwambia mama ananizibia riziki halafu tunakuwa hatuko huru kuongea "mazungumzo ya kinjemba njemba"
Unakuta una mtarajiwa wako kwenye mizunguko au mpo kwenye starehe zenu
za weekend rafiki yako anakupigia simu kwa ustaarabu unaenda na mchumba wako
pale yule rafiki yako mnakaa pale ila anakuwa hana raha afu baadae anakuita pembeni
anakwambia MZEE UMEKALIWA YAANI KILA SEHEMU LAZIMA MFUATANE???
Jamani je huu ni ungwana na je huyu ni rafiki mzuri????
mkuuu hapo nakubaliana nawewe 100% kwani jamaa namfahamu ni mzee wa totozNdugu yangu kumbuka wewe ndiye umemfundisha huyo rafiki yako ya kuwa mara nyingi uko peke yako..lakini kama utamfundisha ya kwamba akikuomba muonane kuna probability utaongozana na rafiki yako wa kike..basi kuna mawili...atakutenga na hatokupigia simu kwenye vikao ambavyo hapendi uwe na mwingine...au kama atakualika uende basi anajua fika unaweza kuzuka na mpenzi wako...
Mkuu kila kitu ni wewe unavyotaka..ila kumbuka jamii wanaweza wasikuelewe na watachonga sana...
Pia kumbuka mara nyingi vile vikao ambavyo watu hawapendi wengine wahudhurie huwa vinaishia pabaya kwenye mambo ya uzinzi..na cheating..wanaume huwa tunajidinganya eti..vikao vya wanaume...
Lizz mimi ni mkaka bwana ila jina nimetumia Shoste kwani wadada wa kibongo wanapenda kulitumia sana wanapoitana marafiki hahahaha sio maajabu ya dunia ndo mambo ya jamii forum invisibilityHivi we SHOSTE ni mdada au mkaka?!Sikuelewi elewi maana jina la kidada alafu kuna thread unamwongelea girlfriend wako..au ndo maajabu ya dunia tunashuhudia live ndani ya JF?!
Wantia wasiwasi...angalia usitongozwe na majibaba ya haja unless ndicho unachotaka ofcoz!Lizz mimi ni mkaka bwana ila jina nimetumia Shoste kwani wadada wa kibongo wanapenda kulitumia sana wanapoitana marafiki hahahaha sio maajabu ya dunia ndo mambo ya jamii forum invisibility
duu lizz nitake radhi bwana mimi sina hayo mambo ya ajabu ni jina tuu nimelitumia naweza hata kulibadilisha kama inawezekana duu hii balaaawantia wasiwasi...angalia usitongozwe na majibaba ya haja unless ndicho unachotaka ofcoz!
Wantia wasiwasi...angalia usitongozwe na majibaba ya haja unless ndicho unachotaka ofcoz!