Je, huu siyo wakati muafaka wa zile Pesa za RC Hapi Tsh 10M na Mbunge Mavunde Tsh 15M za Kuiumiza Simba SC zikatumika kuilipia Faini Yanga SC CAF?

Je, huu siyo wakati muafaka wa zile Pesa za RC Hapi Tsh 10M na Mbunge Mavunde Tsh 15M za Kuiumiza Simba SC zikatumika kuilipia Faini Yanga SC CAF?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
RC wa Mara (tena Kwetu kabisa GENTAMYCINE) ulitoa Ahadi ya Tsh Milioni 10 kwa Timu ya Biashara United FC kama wakiifunga Simba SC na hawakufanikiwa.

Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) Antony Mavunde hukuishia tu kutoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 kama Dodoma Jiji FC wakishinda au Tsh Milioni 10 kama wakitoa Sare na Simba SC na hawakufanikiwa ambapo Walifungwa lakini pia uliwaambia Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kwa Kutumwa na Yanga SC yako kuwa wahakikishe wanawaumiza Wachezaji Mahiri wa Simba SC ambapo kwa hili Walifanikiwa kwa 65% hivi.

Nimeona mahala kuwa Yanga SC inatakiwa Kulipa Faini ya Tsh Milioni 11 kwa Upumbavu wake mkubwa ilioufanya hasa katika CAF CL ilipocheza na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.

Je, huu siyo wakati Muafaka sasa wa akina RC Hapi na Mbunge Mavunde wakaitolea Yanga SC hiyo Faini ili kuonyesha Mapenzi yao kweli kwa Klabu yao na pia waweze Kutuonyesha Jeuri yao ya Pesa na waweze kupata Sifa zaidi kwa Mashabiki wao 'Oya Oya' wengi?
 
Jibu lako mujarabu kutoka kwa Manara.
IMG-20211013-WA0028.jpg
 
Saivi wamejikausha kama hawaoni Timu inadaiwa
Hangaikieni kwanza usafiri wa timu yenu, inasemekana mnapanda daladala hadi Botswana.
Mbwembwe zilikuwa nyingi humu oh ATCL ATCL kiko wapi.

btw hiyo 11M ndogo sana kwa wananchi, kama tuliweza kuendesha timu misimu mi3 kwa bakuli tutashindwaje hiyo 11M
 
Wakati fulani ndo maana nakukubali sana genta.. umefanya vyema kuwakumbusha hawa mbulula.

kuna fedha pia waliandaa kwa ajili ya kuwafanyia kibaya simba kwenye match na police ili tushindwe kucheza kikamilifu wakati wa marudiano na galaxy. lkn viongozi wetu wameliona hilo.

wakaomba match iahireshwe mpaka tumalize majukumu ya kuiwakilisha nchi ndo tuendelee kupapatuana nao.
 
Hizo milioni 15 zipo kwa timu zote zitakazo cheza na cheza na kupata angalau sare

Kuhusu faini ya milioni 11 sio shida coz huo ni mshahara wa Khalid Aucho kwa mwezi
 
GENTAMYCINE Maliza kwanza kushughulikia suala la usafiri wa kwenda na kurudi Botswana ili mrudi mapema

Au Mfanye ku rent Mercedes Benz Irrizar ya Azam ili mpitie Tunduma-zambia-Botwasana kama Usafiri wa ndege umekuwa tatizo kwa upande wenu
 
Hangaikieni kwanza usafiri wa timu yenu, inasemekana mnapanda daladala hadi Botswana.
Mbwembwe zilikuwa nyingi humu oh ATCL ATCL kiko wapi.

btw hiyo 11M ndogo sana kwa wananchi, kama tuliweza kuendesha timu misimu mi3 kwa bakuli tutashindwaje hiyo 11M
Uto mna ubongo mdogo hivi unajua ule mkataba na Atcl ulisemaje? Haya kaupitie kwanza kisha urudi hapa mheshimiwa utelembwende
 
Mkuu k
RC wa Mara ( tena Kwetu kabisa GENTAMYCINE ) ulitoa Ahadi ya Tsh Milioni 10 kwa Timu ya Biashara United FC kama wakiifunga Simba SC na hawakufanikiwa.

Mbunge wa Dodoma Mjini ( CCM ) Antony Mavunde hukuishia tu kutoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 kama Dodoma Jiji FC wakishinda au Tsh Milioni 10 kama wakitoa Sare na Simba SC na hawakufanikiwa ambapo Walifungwa lakini pia uliwaambia Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kwa Kutumwa na Yanga SC yako kuwa wahakikishe wanawaumiza Wachezaji Mahiri wa Simba SC ambapo kwa hili Walifanikiwa kwa 65% hivi.

Nimeona mahala kuwa Yanga SC inatakiwa Kulipa Faini ya Tsh Milioni 11 kwa Upumbavu wake mkubwa ilioufanya hasa katika CAF CL ilipocheza na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.

Je, huu siyo wakati Muafaka sasa wa akina RC Hapi na Mbunge Mavunde wakaitolea Yanga SC hiyo Faini ili kuonyesha Mapenzi yao kweli kwa Klabu yao na pia waweze Kutuonyesha Jeuri yao ya Pesa na waweze kupata Sifa zaidi kwa Mashabiki wao 'Oya Oya' wengi?
Mkuu 5000 usd na yenyewe unahisi kwamba watashindwa kulipa.
Wanalipa tena mapema,pesa ya Karanga kabisa,hata mimi pamoja na uchumi mgumu huu ninao uwezo wa kutoa hiyo pesa ukileta dill faster hata benk siendi.
 
Back
Top Bottom