Naomba msaada kwa wenye uelewa wa kisheria,
1. Je kuna mgomo unaoruhusiwa kisheria na mtawala akaridhika? 2. Mbona hata CWT waliomba kibali cha mahakama na hata baada ya kuhusiwa watawala walitumia authority yao kuwatisha? 3.Je ikitokea waliogoma kutotii amri ya mahakama ni hatua gani itachukuliwa dhidi yao? Naomba niwasilishe kwenu wakuu.
labour law yetu inawalakini-ni as if hakutakiwi mgomo-maana ukisoma section 77(3) inafanya mgomo wowote kuwa badili
(3) In addition to the services designated in subsection (2), the
Essential Services Committee may designate a service as essential if
the interruption of that service endangers the personal safety or health of the population or any part of it.