JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
1. BSc in....SUMMARY
1. Bachelor's degree 3.2
2. Master's degree 4.4
3. Bachelor's degree 3.9
4. PhD
Unamuonea wivu??SUMMARY
1. Bachelor's degree 3.2
2. Master's degree 4.4
3. Bachelor's degree 3.9
4. PhD
Hapana.Unamuonea wivu??
Sasa shida yako ni ipii??Hapana.
SUMMARY
1. Bachelor's degree 3.2
2. Master's degree 4.4
3. Bachelor's degree 3.9
4. PhD
1. Bachelor's degree 3.9
2. Master's degree 4.4
3. PhD
Kwanini asitumie izo tatu ili awe amefit kuwa lecturer
Je hiyo bachelor nyingine inahusiana na hiyo Masters? Kama ni katika same profession hamna taabu.Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.
Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata GPA 4.4 ...akafanya bachelor degree nyengine baada ya masters akapata GPA ya 3.9 kisha akafanya PhD. Je anakua tayari amekidhi vigezo vya TCU na anaweza kuajiriwa kama lecturer?
Ahsante
Ishu ni kwamba hiyo Bachelor ya 3.9 ameipata baada ya Masters kwa hiyo lazima iuliziwe1. Bachelor's degree 3.9
2. Master's degree 4.4
3. PhD
Kwanini asitumie izo tatu ili awe amefit kuwa lecturer
Ishu ni kwamba hiyo Bachelor ya 3.9 ameipata baada ya Masters kwa hiyo lazima iuliziwe'Are they acquired in the same professional/Area...,huyo anaoneka kuchanganya professionals...,kama ni the same profession/area...,anaificha hiyo ya 3.2 then anaombea zilizobaki
sesJe hiyo bachelor nyingine inahusiana na hiyo Masters? Kama ni katika same profession hamna taabu.
Ishu ni kwamba hiyo Bachelor ya 3.9 ameipata baada ya Masters kwa hiyo lazima iuliziwe
I can ask you the same question! Maana sikukuuliza wewe hilo swali mkuu.Sasa shida yako ni ipii??
[emoji3516]Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.
Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata GPA 4.4 ...akafanya bachelor degree nyengine baada ya masters akapata GPA ya 3.9 kisha akafanya PhD. Je anakua tayari amekidhi vigezo vya TCU na anaweza kuajiriwa kama lecturer?
Ahsante
Note# undergraduate ana score/GPA mbili ya awali ilikata na ya Pili ikakubali.....!!! Au muda wa kumaliza chuo utamfunga?Hafai, undergraduate anatakiwa kuwa na at least 3.5