Jamani mtaacha wangapi,hapo mtoto wakike anatingisha kiberiti kuhakikisha kama kimejaa,Mnakata tamaa kwa vitu vidogo anza kuongea nae kawaida bila kuweka maneno ya hisia baada ya muda ataanza yeye.
pole kaka.bt minaona muda mwingine longdistance kataka love ina discourage sana.usiwaze takecare uko uliko then ukirudi salama mtakuwa wote kama kawaida.usikate tamaa.
Nakubaliana na we Uporoto.....mwanaume uwe strong....mbadilikie kidogo kama wiki hivi uone....ashakuzoea na vile ushamtambulisha basi kiburi kiko juu.....she is on top of the world.....muonyeshe kiberiti kimejaa......!!!
Well said mkuu. Wanaume na nyie saa nyingine mnakosea sana kubembeleza kupita kiasi