Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

Zakuambiwa unachanganya na za kwako katika Mahusiano.Pia kwa ushauri wangu kama papa anakupatia kwa wakati usiwahi kumuoa.Vuta Pumzi kwanza uwendelee kumchunguza kwa ukaribu tabia zake.Kwa maana ndoa ni maisha ya kwako na watoto wako.
 
Kwa namna gani? Hebu msaidie
Udhaifu wake

1."Ni mkali mno na jeuri'' na amekiri ''anamuogopa''

Hapa tu kwenye huu udhaifu panaonyesha namna ambavyo huyu jamaa atakuwa anashindwa kusimama kama baba...

Ikiwa tu kwenye sex anapangiwa basi hatakuwa mume mwenye maamuzi kwa mkewe, ila mke ndo atakuwa mume yaani anampangia mumewe...

Wanasema kukaliwa na mke.
 

No offense but namba 1 ni red flag
 
Sawa mkuu, dah kazi kweli! Anyway Mungu amfanyie wepesi maamuzi yake yawe ya faida
 
Huyo wife material kabisa, yaani kama wewe ni mchakarikaji hata ukichoka hamsumbuani kwenye minyanduano.
 
HANA TATIZO
 
AMRI YA 6 USIZINI KAMA UMEMPIMA MKE KWA NJIA HIYO UTASHAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…