Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

Hilo kaburi ni la kwako unataka na sisi tuhis joto lake
 
Hizo jamii hazi fai kuoa ,utakuja kufa siku sio zako
 
Kwa kweli huyu hakufai hata kidogo piga chini mara moja, pia naomba connection zake.
 
huyo ndio mke haswaa kwako,muoe haraka
 
Kwa upande wangu siwezi kusema ndio au hapana. Anayetaka mke ni wewe, sio JamiiForum. Ukioa kwa kufuata ushauri wa watu siku yakikukuta utalia na waliokushauri?
 
Hana hisia na wewe..........umesema sio Single mother kweli?
 
Mkuu, tafadhali naomba namba za huyu mdada....nina maswali kadhaa kwake.
 
Sasa we mtu na akili zako una date mchaga umerogwa bila shaka?
 
Hajazaa Bado
Fuko likipasuka
Mpk utaichoka hiyo

Kama unataka MKE huyo anafaa KUOA
7bu moja kuu ANAKUPENDA

mm ushauri wangu OA anayekupenda siye unayempenda
OA mkuu
 
haya wanajf tumepewa jukumu lakuamua iwe ndoa au iwe ndoano..![emoji1787]
Iwe ndoa kaka,
1. Wanawake watamu zama hizi hawapo, wengi wao ukiingiza wanakuuliza kama tayari ushaingiza, sasa hicho kitu tight unataka kumuachia nani?
2. Ukiwa nae mnaweza kufika mbali kimaendeleo maana utajiri unapatikana zaidi ktk kutunza hela na kubana matumizi naona huyo yupo vzr.
3. Pia inaonyesha ana nidhamu kwa Mwanaume, hiki kitu tunakikosa sana kwa wanawake wa sasa, Nidhamu ya mwanamke inaweza kukutibu pressure, na hata Kisukari.
4. pia anaonekana hana Makuu, wanawake wenye makuu wanarudisha nyuma sana Maendeleo, mwisho wa siku wanagongwa hovyo kwa sababu ya Tamaa zao.

NB: Huyo Muoe usichelewe! muanze kupata watoto mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…