Usikute huku aliko kwa miezi sita tayari ana mke mwingine.Mke wa jirani kaita ndugu upande wa mume akiwaambia wasimlaumu akipata mimba nje ya ndoa sababu ndugu yao( mume) yuko mbali kwa miezi sita (akitafuta kipato).
Yaani umri wa mwanamke umeenda anakaribia miaka 40 na amefunguka hayo. Dah hakika wanaume tunapitia magumu.
Yaani nimeenda mbali kutafuta kipato,nimekaa miezi mi5 ,6 huku mwenzangu anawaza kuchepuka . Ukiumwa je kwa mwaka 1 si ataolewa kabisa na mwanaume mwingine.
Ni kweli bora hiyo kuliko kuhatarisha maisha yake.Mwambieni aombe taraka avunje ndoa
Hakuna uthibitisho,hivyo mke atulie mume anatafuta kwa ajili ya familia.Usikute huku aliko kwa miezi sita tayari ana mke mwingine.
Inashangaza sanaKwahiyo anawataarifu kama ana nyege?