Je huyu mwanamke anafaa kuoa?

Mhhhhh is she in love with you? Maana watu wa aina hii kupenda mtihani.....
 
Kama alibakwa zamani haihusiani na ndoa yako!
Kamata mtoto weka ndani maisha yasonge mbele
 
Jikaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…