GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiukweli amenichanganya sana baada ya kusema kwamba 99.9% ya Watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito mdogo na wenye kupata / kuugua Ugonjwa wa ' Utapiamlo ' huwa na uwezo mdogo sana wa Kufikiri / Akili.
Mliopo Wodi za Uzazi sasa hivi na bahati nzuri Wake zenu au Wapenzi wenu wanakaribia kujifungua au wameshajifungua hakikisheni mnawapima haraka sana uzito Wao ili uweze tu kujua mapema kama kwa Utafiti huo wa huyu Mwanasayansi umepata faida au hasara ili uanze kujiandaa tu Kisaikolojia mapema.
Najua humu JF kuna Wataalam kabisa wa Saikolojia hasa ya Uzazi na ' Wabobezi ' kabisa hivyo tunaomba na Wao waje waseme yao ili watutoe hofu kwani binafsi Mwanangu wa Kwanza alizaliwa na Kg 1.89 na huyu wa pili wa hivi juzi tu kazaliwa na Kg 1.99 na huu mtazamo wa huyu Mwanasayansi umenishtua mno japo bado sijaanza kuona dalili zozote za Utapiamlo kuwakumba.
Na sijui ni nani aliniambia nifungulie ile tv station hadi nikakutana na huyu ' Mwanasayansi ' ambaye kiukweli aliyoyasema amenikatisha sana tamaa na siyo siri mood yangu yote ameiharibu mchana huu hivyo ni nyie Wataalam Wabobezi humu JF ndiyo mtakaoniokoa juu ya hili jambo.
Nitawashukuru.
Nawasilisha.