madeye kugombea ubunge arumeru magharibi?
Mkurugenzi usimamizi wa rasilimali wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni kamanda wa umoja wa vijana CCM wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mlezi wa UWT wilaya ya Arumeru, Goodluck Ole Medeye, alipokua akizungumza na wazee wa mila mara baada ya kumletea ombi ya kumuomba agombanie ubunge wa Jimbo la Arumeru magharibi. Picha na mdau Woinde Shizza wa Arusha.
source: Michuziblogspot
Kumbe anataka kumdondosha nani kule Arumeru? Na kwa nini?Hivi ni visa tu vya Chama Tawala!
Ametangaza nia ya kugombea sa sahihi kabisa wala si visa vya chama Tawala.
wakati ukifika wa kuchukua fomu sheria inamruhusu kuchua rikizo ya bila malipo au kujiuzuru wadhifa wake wa hiyari yake.
Suala si nia ya kugombea, yeye ni kiongozi tayari ndani ya CCM, mbona hafukuzwi kama baregu
Suala si nia ya kugombea, yeye ni kiongozi tayari ndani ya CCM, mbona hafukuzwi kama baregu
Just for Curiosity, unaposema kuwa huyu mheshimiwa ni kiongozi wa CCM, je nafasi yake ni ya kikatiba, kwa maana ya kwamba anatambulika kama kiongozi wa chama kwa mujibu wa katiba ya CCM?
Hapa ndipo wanasiasa wanaponiachaga hoiHalafu hii BS ya kuwahonga wazee wachache halafu kujifanya umeombwa na wazee ni noma, inaonyesha watu wasaii from the get go.