Hiyo ni autorun kwa asilimia kubwa inaadhiri katika boot sector yaani kitu chochote kinachotumika katika kuboot ndio inaadhiri huko mfano kama una hard drive na ina partition angalia jaribu kufungua partition hizo utaona haziwezi kufunguka moja kwa moja hiyo inaweza kuondolewa na kaspersky ila baadhi ya versions , antivirus aina ya antivir inaweza kuiondoa , rising antivirus na pc doctor zineweza kuondoa hiyo , hiyo rising antivirus ina feature inayokuwezesha kudelete hiyo autorun moja kwa moja
mwisho kuna programu inaitwa autorun remover hiyo inaweza kuondoa bila antivirus ina inasehemu unayoweza kuset vitu mbali mbali mfano kukataa flash isifunguke au isiweze kuhamisha data mambo kama hayo