Je huyu ni mrembo gani?

mmmh..huyu ni nasreem miss tanzania...2008-2009
 
yoooh mawe wembamba mwingine sijui ni ugonjwa :whip:
 
Kuna skendo yake fulani si nzuri niliona kwa mbali kwenye gazeti ila sikulinunua maana ni la udaku. Wadau kuna mtu aliliona
 
ni Nasreem.....anatafuta tender za kutokea kwenye playboy magazine
 
Ha ha ha ahaaa!!!!! huo ni uchawi wa pesa uavyoitesa dunia tu , jamii jihadhirini mcje mkafuata tu
 
Mh... mi naona size ya kichwa chake haiendani na mwili wake, duh!
 
Wow , Nasreem kumbe unapendeza namna hii , hata sikukutambua hapa .... hot hot hooooot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…