NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nipo palee nakunywa kahawa nasubiri majibu yenu wakubwa (wakulungwa).
Nawasilisha swali.
Nawasilisha swali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga sana huyo dogo.Nipo palee nakunywa kahawa nasubiri majibu yenu wakubwa (wakulungwa).
Nawasilisha swali.
Feisal kile Kishada cha Jemadari Said?Nipo palee nakunywa kahawa nasubiri majibu yenu wakubwa (wakulungwa).
Nawasilisha swali.
Haya ngoja tuone nini kitafata.Feisal hiyo hela anayo kinachofanyika ni kujengq mazingira tu kama alichangiwa ila watu wake waliomfikisha hapo washampa hiyo pesa
Kuna machizi (watoto wa mjini) wanampa moyo ngoja tuone kitatokea niniThis is a drama. Na Fei toto ndiye kidubwasha kinachozungushwa bila kujua hatma yake.
Kuna wahuni ndani yake, hata maandishi ya kuomba msaada wahuni ndio wamemwandikia
Ina maana kwamba anapewa ushauri na jemedari saidi??Feisal kile Kishada cha Jemadari Said?
Hata akifungiwa maisha yanga haitayumba.Jiandaeni kisaikolojia Ally kamwe
..............
Fufungiwa miezi MITATU.
Na FAINI ya Milioni Moja.
...........
Tena saanaAmijei kiwango kinazidi kushuka tu.