py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Katika usajili walioufanya Simba pasi na shaka usajili wa Niyonzima walikurupuka. Simba haikuwa na tatizo na kiungo na idara ambayo Simba ilikuwa vizuri mno basi ni idara ya kiungo ndio maana wakicheza na yanga au Azam tokea msimu uliopita walikuwa wakitawala sana mpira hata Yanga yenye Kamusoko na Niyonzima na simba iliyokuwa pungufu lakini simba iliyokuwa pungufu waliwapoteza yanga huku Ndemla, Mkude Mzamiru wakipasiana pasi kwa ustadi mkubwa
Niyonzima amekuwa akilaumiwa na mashabiki wa yanga kuwa amekuwa akicheza chini ya kiwango kila akikutana na Simba. Niyonzima sio alikuwa anapenda tatizo uwezo wa Mkude, Ndemla, Mzamiru na Mo katika uchezeshaji ulikuwa mkubwa
Je, kulikuwa na ulazima wa simba kumsajili Nio?
Niyonzima sio goal scoring midfielder sasa kama sio kiungo anayefunga basi atakuwa mzuri kwenye uchezeshaji. Swali: Je, Simba walikuwa na shida ya aina ya kiungo huyo?
Saizi Simba ina idadi kubwa ya viungo karibu 7, na wanaokuwa wanaanza msimu huu ni Kotey, Mzamiru na Niyonzima
Ndemla, Mkude, Mo wamekuwa wakisugua sana benchi.
Binafsi sijaona umuhimu wa Niyonzima ndani ya kikosi cha Simba, Ndemla na Mo walikuwa wakitekeleza ipasavyo na saizi wamekuwa wahanga.
Simba udhaifu wao ulikuwa ni eneo la ushambuliaji na ni sehemu iliyokuwa ikiinyima maksi Simba.
Ninamshauri Mkude dirisha dogo aondoke simba huyu jamaa ni mtaalamu sana ni nadra kumuona akipoteza pasi na ana akili, na pia Mo namshauri asepe zake aende Azam au hata Yanga wanashida na type yake.
Ndemla ni play maker mzuri na sio wa kukaa benchi kabisa namshauri atafute timu south Africa au Africa kaskazini aidha Etoil du sahel au Al ahl.
Kubaki simba watajipoteza na watabaki historia wakati ilibidi watambe nyakati hizi.