nakukubali kwa majib yako!Inakubalika na nani?!Kwani huyo kijana anataka kukuoa wewe au hao walio kwenye kundi la ITAKUBALIKA?!Fanya unachotaka wewe kufanya...kama anakuvutia na umeridhika nae mpe nafasi...kama nafsi yako inasita kataa!
Nakukubali kwa kukubali majibu yangu...lolz!Nasuburia ushahidi kule....!nakukubali kwa majib yako!
mi n mschana nashindwa kuamua coz kjn anayetaka 2we ktk mahusiano then kuwa mke na mme ananizidi miaka 10, je nifanyeje?
Mi n mschana nashindwa kuamua coz kjn anayetaka 2we ktk mahusiano then kuwa mke na mme ananizidi miaka 10, je nifanyeje?
unapo coment try to generalise nafikiri haupo sawa kabisa sababu kuna watu wamepishana hadi miaka kumi natano 15yrs still wapo hadi leo unatakiwa kujua kuwa mwanamke anazeeka haraka kuliko hata mwanaume.sasa kama mwanaumeana miaka 35 na mwana mke ana mika 25 tatizo liko wapi hapo??haiwezekani...... sikushauri kabisaaa.. hayo mambo dunia ya mababu zetu ndio yaliwezekana wasichana wa enzi hizo wealikua ni wavumilivu hata kama mzee kaanza shindwa piga mechi.... nyie siku hizi nasema hampo hiiivyooo.. utamtakia kijana wa watu stresses kwani utaanza penda vijana wenzako na utaishia chakachuliwa nje ya ndoa wakati mzee ananza kuchuja... Stop.. tena mwandikie msg saiv mwambie akome kukujua.. na apotee mbali na uzee wake.. sihitaji mni quote....wachangiaji..