MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Fact1. Change location
2. Change your name
3. Do business
Ukishaona unataka kufanya jambo halafu moyo unasita na unataka watu wasilijue,dini inaelekeza jambo hilo uliache ni dhambi,utafute lile ambalo huna shaka nalo,Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam.
Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini.
Sasa mnisaidie wajuvi nifungue iyo au niachane nayo na nitafute mradi mwingine wenye mahusiano mazuri na dini.