ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Shukrani sana Mkuuwewe tu na kichwaa chakoo...!! hata 5
Nilihisi labda kuna miongozo inakataza jambo hiloKwanini wakuzuie sasa
Habari Wakuu.
Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya Uzamili ( Masters Degree) taratibu za TCU zinaruhusu hilo jambo kutokea?
Kwa Mfano; Mtu awe anasoma Masters ya Public Administration hapo Mzumbe na pia awe anafanya Masters ya Information Security katika Chuo kingine kama vile UDSM?
Naomba kuwasilisha kwa mwongozo tafadhali
Unaangalia na fursa ambazo zipo usoni Mkuu, kuwa na utaalamu mbalimbali inaongeza thamani MkuuKwa nini ufanye kozi mbili wakati elimu ya Masters ni mahsusi kwa ajili ya kujikita kwenye fani moja...
Unaangalia na fursa ambazo zipo usoni Mkuu, kuwa na utaalamu mbalimbali inaongeza thamani Mkuu
Habari Wakuu.
Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya Uzamili ( Masters Degree) taratibu za TCU zinaruhusu hilo jambo kutokea?
Kwa Mfano; Mtu awe anasoma Masters ya Public Administration hapo Mzumbe na pia awe anafanya Masters ya Information Security katika Chuo kingine kama vile UDSM?
Naomba kuwasilisha kwa mwongozo tafadhali
Namaanisha Mkuu
Ofisi zinatofautiana MkuuUnasoma masters ya taaluma au kada unayoifanyia kazi kwa sasa ili kuongeza maarifa na utaalamu zaidi...
Anyway kila mtu na mitazamo yake...
Mkuu nimesema hivyo baada ya kufuatilia ratiba za vyuo vinavyotoa Masters, kuna vyuo vina September intake na March intake.Kwamba uko mzumbe unasoma masters full time huku koziwork unatakiwa kupresent kule udsm kesho yake Kuna seminar room unatakiwa
Muuliza swali ameuliza swali arudi kwanza ajitafakari
Bila shaka mtoa mada amepata mwongozo