Je, inashauriwa kuvaa Condom mbili kwa wakati mmoja?

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
9,266
Reaction score
7,426
Habari za leo Wakuu?

Naomba msaada kwa hili , Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili kwa wakati mmoja ili kujikinga zaidi na maradhi?
 
Habari za leo wakuu?

Naomba msaada kwa hili, Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili ili kujikinga zaidi na Maradhi?
 
Kwenye miaka bado kuna mimtu inavaa kodomu si bora ata upige nyeto
 
Kwenye miaka bado kuna mimtu inavaa kodomu si bora ata upige nyeto
 
Ndomu mbili?? Hill shimo lina tetenasi? Au unataka upige mpaka usikie halufu ya mshkaki.
 
Mimi ninavofahamu ni condom moja kwa tendo moja inatosha kujikinga ukiitumia kwa usahihi, zingatia tu ,usivae condom ukiwa na makucha marefuu,,epuka kuiongezea kondom vilainishi vingine itapelekea kupasuka.Hivo yani
 
Kama una mpango wa kuiongezea saizi dushelele ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…